MWONGOZO WA KUSAJILI NA KUOMBA VIBALI KATIKA TASNIA YA NYAMA
|
- USAJILI WA SHAMBA LA MIFUGO NA RANCHI
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Utambulisho wa Mlipaji Kodi (TIN)
- Picha (passport size)
- Kitambulisho cha NIDA/Leseni/Mpiga kura
- Kama ni Kampuni/kikundi/taasisi ambatisha cheti cha usajili wa kampuni/kikundi/taasisi
- Idadi ya Mifugo
|
- Kujaza fomu ya maombi Kupitia ; https://mimis.mifugo.go.tz au link hiyo kupitia www.tmb.go.tz
- Kuambatisha nyaraka husika
- Kufanyiwa ukaguzi
- Kukamilisha Malipo
- Kudurufu (print) cheti
|
Siku 1
|
Inategemea na idadi ya mifugo katika shamba:
- Mashamba madogo ya kibiashara Tsh. 42,500
- Mashamba ya ukubwa wa kati ya kibiashara Tsh.95,000
- Mashamba makubwa ya kibiashara Tsh.170,000
- Mashamba ya wafugaji wasio wa kibiashara Tsh.70,000
|
Mwaka mmoja (July 1 to June).
Anahuisha kila mwaka
|
- USAJILI WA SHAMBA LA KUNENEPESHA MIFUGO
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Uthibitisho ya Mlipaji Kodi (TIN)
- Picha (passport size)
- Kitambulisho cha NIDA/Leseni/Mpiga kura
- Kama ni Kampuni/kikundi/taasisi ambatisha cheti cha usajili wa kampuni/kikundi/taasisi
- Idadi ya Mifugo
|
- Kujaza fomu ya maombi Kupitia ; https://mimis.mifugo.go.tz au link hiyo kupitia www.tmb.go.tz
- Kuambatisha nyaraka husika
- Kufanyiwa ukaguzi
- Kukamilisha Malipo
- Kudurufu (print) cheti
|
Siku 1
|
Inategemea na idadi ya mifugo :
- Fedlotter mdogo Tsh. 120,000
- Fedlotter wa size ya kati Tsh.170,000
- Fedlotter mkubwa Tsh.220,000
|
Mwaka mmoja (July to June). Anahuisha kila mwaka
|
- USAJILI WA WAFANYABIASHARA WA MIFUGO HAI
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Uthibitisho ya Mlipaji Kodi (TIN)
- Picha (passport size)
- Kitambulisho cha NIDA/Leseni/Mpiga kura
- Kama ni Kampuni/kikundi/taasisi ambatisha cheti cha usajili wa kampuni/kikundi/taasisi
|
- Kujaza fomu ya maombi Kupitia ; https://mimis.mifugo.go.tz au link hiyo kupitia www.tmb.go.tz
- Kuambatisha nyaraka husika
- Kukamilisha Malipo
- Kudurufu (print) cheti
|
Siku 1
|
- Mfanyabiashara ya mifugo ndani ya nchi Tsh 70,000
- Mfanyabiashara ya mifugo kwenda nje ya nchi Tsh 70,000
|
Mwaka mmoja (July to June). Anahuisha kila mwaka
|
- USAJILI WA GARI LA KUBEBEA NYAMA
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Utambulisho ya Mlipaji Kodi (TIN)
- Fomu ya ukaguzi wa gari
- Picha (passport size)
- Kitambulisho cha NIDA/Leseni/Mpiga kura
- Kama ni Kampuni/kikundi/taasisi ambatisha cheti cha usajili wa kampuni/kikundi/taasisi
|
- Kujaza fomu ya maombi Kupitia ; https://mimis.mifugo.go.tz au link hiyo kupitia www.tmb.go.tz
- Kuambatisha nyaraka husika
- Kufanyiwa ukaguzi
- Kukamilisha Malipo
- Kudurufu (print) cheti
|
Siku 1
|
Tsh 70,000
|
Mwaka mmoja (July to June). Anahuisha kila mwaka
|
-
-
- 5. USAJILI WA WASAMBAZAJI WA NYAMA
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Uthibitisho ya Mlipaji Kodi (TIN)
- Picha (passport size)
- Kitambulisho cha NIDA/Leseni/Mpiga kura
- Kama ni Kampuni/kikundi/taasisi ambatisha cheti cha usajili wa kampuni/kikundi/taasisi
|
- Kujaza fomu ya maombi Kupitia ; https://mimis.mifugo.go.tz au link hiyo kupitia www.tmb.go.tz
- Kuambatisha nyaraka husika
- Kufanyiwa ukaguzi
- Kukamilisha Malipo
- Kudurufu (print) cheti
|
Siku 1
|
Tsh. 120,000
|
Mwaka mmoja (July to June). Anahuisha kila mwaka
|
-
-
- 6. USAJILI WA DUKA LA NYAMA / BUCHA
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Utambulisho ya Mlipaji Kodi (TIN)
- Fomu ya Ukaguzi wa bucha
- Picha (passport size)
- Kitambulisho cha NIDA/Leseni/Mpiga kura
- Kama ni Kampuni/kikundi/taasisi ambatisha cheti cha usajili wa kampuni/kikundi/taasisi
|
- Kujaza fomu ya maombi Kupitia ; https://mimis.mifugo.go.tz au link hiyo kupitia www.tmb.go.tz
- Kuambatisha nyaraka husika
- Kufanyiwa ukaguzi
- Kukamilisha Malipo
- Kudurufu (print) cheti
|
Siku 1- 2
|
Inategemea na aina ya bucha
- Duka la nyama daraja la juu Tsh. 170,000
- Duka la nyama daraja la kati 120,000
- Duka la nyama daraja la kawaida Tsh. 95,000
|
Mwaka mmoja (July to June). Anahuisha kila mwaka
|
-
-
- 7. USAJILI WA MINADA YA MIFUGO
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Uthibitisho ya Mlipaji Kodi (TIN)
- Fomu ya Ukaguzi wa mnada
- Picha (passport size)
- Kitambulisho cha NIDA/Leseni/Mpiga kura
- Kama ni Kampuni/kikundi/taasisi ambatisha cheti cha usajili wa kampuni/kikundi/taasisi
- Barua kutoka wizara mifugo
|
- Kujaza fomu ya maombi Kupitia ; https://mimis.mifugo.go.tz au link hiyo kupitia www.tmb.go.tz
- Kuambatisha nyaraka husika
- Kukamilisha Malipo
- Kudurufu (print) cheti
|
Siku 1 - 2
|
- TShs 220,000 kwa mnada wa awali
- TShs 220,000 kwa mnada ya Upili na mipakani
|
Cheti cha Usajili uhai wake ni mwaka mmoja (July to June). Anahuisha kila mwaka
|
-
-
- 8. USAJILI WA MACHINJIO
|
NYARAKA ZA
KUWASILISHWA
|
HATUA ZA
KUFUATWA
|
MUDA WA MCHAKATO
|
GHARAMA
|
MUDA WA UHAI WA USAJILI
|
- Namba ya Uthibitisho ya Mlipaji Kodi (TIN) <
|