Misingi ya Taasisi
i. Uadilifu - Maadili ya juu, uaminifu na kutopendelea
ii. Uwajibikaji - Wajibu wa kutekeleza majukumu kulingana na sheria na kanuni zilizowekwa
iii. Weledi - Uwezo, kuendana na mazingira, kuzungumza mbele ya watu na ujuzi binafsi unaotarajiwa kiutendaji
iv. Mwitikio - Kuweka mazingira rafiki na kukidhi matarajio ya wateja
v. Huduma bora – Jitihadi za kutimiza malengo yanayotarajiwa katika kipengele cha majukumu na wajibu wa Bodi.