MWENENDO WA BEI YA MIFUGO KATIKA MNADA WA PUGU KWA WIKI INAYOISHIA TAREHE 5 MAY, 2023
Imewekwa: 09 May, 2023
MWENENDO WA BEI YA MIFUGO KATIKA MNADA WA PUGU KWA WIKI INAYOISHIA TAREHE 5 MAY, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Kupungua kwa bei hizo pamoja na mambo mengine kumechangiwa na kupungua kwa mahitaji ya mifugo ikilinganishwa na wiki iliyopita