Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 29 Mar 2024
Imewekwa: 08 Apr, 2024
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 29  Mar 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka  kidogo  ikilinganishwa na wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa uhitaji wa mifugo mnadani lakini pia hali hii inachangiwa na wafugaji kutokupeleka mifugo mizuri kwa wingi wakisubiri mpaka kipindi cha sikukuu ya Eid.